22.11.13

Friday, May 10, 2013

G-NAKO akiri kufanya show kali leo ndani ya CLUB TWISTTERZ IRINGA

G-Nako msanii anayeliwakilisha kundi la WEUSI tarehe ya leo majira ya Usiku atakuwa pale IRINGA katika club maarufu iliyopewa jina la CLUB TWISTTERZ. G-Nako amewaomba mashabiki wake wote waliopo Iringa town na sehemu za karibu wajitokeze kwa wingi kwani atawapa zile hit kali pamoja na ule wimbo wake unaofanya vizuri kuanzia kwenye maradio na tv unaitwa MAMA YEYO.

No comments: