22.11.13

Wednesday, May 15, 2013

NEW MIXTAPE - ADAM MCHOMVU PRESENTS "BABA JONII" MIXTAPE VOL. 1

Msanii na Mtangazaji anaewakilisha vizuri katika kazi yake yaa muziki na usanii hapa Tanzania & beyond Adam mchomvu a.k.a Baba Jonii anatarajia kutoa his dubut mixtape tarehe 16 May 2013 ikiwa ni siku ya birthday yake. AD+ Adam Mchomvu ameamua kutoa mixtape hii ikiwa ni zawadi kwa mashabiki zake kwa kile kinachoonekana kuwa the best presenter kwa muda wa miaka minne mfululizo. Mixtape hiyo iliyosamamiwa na watayarishaji wa mapigo ya muziki mbalimbali nchini akiwemo Pancho Latino, Messen Selekta, J  Ryder na J Mudder katika studio tofauti tofauti kama Tongwe Records, B Hits na Defatality amewashirikisha wasanii kama Mabeste, Jose Mtambo, Banana Zoro, Climax, Clif Mitindo, Chid Benz, Pipi, G Nako, Nick Wa Pili, T.I.D, Babu Wa Kitaa na wengineo wengi. Mixtape hiyo yenye jumla ya nyimbo 18 inatarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu baada ya kufanyika Preview ya albam hiyo kwenye the big show in Tanzania XXL Ya Cloudsfm Kesho May 16 kuanzia saa 9 Alasiri....Get Ready For Yo original copy let,s keep supporting what made in Tanzania ---> TWENZETU

No comments: