22.11.13

Friday, May 10, 2013

(News) HEMEDY PHD kuizindua REST OF MY LIFE Jumapili hii ndani ya CLUB BILICANAS

 Msanii maarufu wa filamu na mziki wa kizazi kipya HEMEDY PHD a.k.a CHAPA ILALE. Anatarajia kuzindua single yake mpya iitwayo REST OF MY LIFE aliyomshirikisha MR BLUE katika ukumbi Bilicanas usiku wa tarehe 12 Jumapili hii. Katika usiku huo atasindikizwa na wasanii wenzake kama Gelly wa Rhymes, Mr Blue, Mabeste na Cyrill na kuhusu kiingilio kitakuwa ni elfu 6.


No comments: