22.11.13

Thursday, May 30, 2013

(News) KOBA afiwa na dada yake huko MOROGORO

Asubuhi ya leo mtu mzima kutoka Morogoro anajulikana kwa jina la KOBA alinipigia simu na kuniambia kuwa amefiwa na dada yake wa tumbo moja anajulikana kwa jina la Paulina. Msiba huo umetokea huko huko Morogoro, Koba anasema jana dada yake alijifungua mtoto kwa bahati mbaya mtoto akafariki dunia, sasa ikatakiwa kumchangia damu dada yake maana alipungukiwa damu mwilini lakini kazi yake mola haina makosa leo asubuhi dada akafariki.

No comments: