Shukrani kwa Mashabiki wa Jambo Squad kwa kuwa pamoja nasi katika muziki
wetu miaka yote hii.Hadi kufikia mwaka huu kuwa washiriki katika Tuzo
za kitaifa zi Kilimanjaro Music Awards tukiwania nafasi ya Kundi Bora La
Muziki wa Kizazi kipya 2013,Cha zaidi ni ombi kwenu kuendelea kusupport
Muziki wetu kwa kutuwezesha katika kura za sms na mtandao. Tuma CF1
kwenda Nambari 15345 au Piga kura kwa barua pepe ktma2013@innovexdc.com au tembelea tovuti ya www.kilitimetz.com
No comments:
Post a Comment