22.11.13

Tuesday, May 07, 2013

(Photo's) Jiachie na camera ya DJCHOKAblog (Morogoro & Moshi)

Weekend hii iliyoisha nilikuwa MOROGORO na MOSHI kwenye show za GrandMalt, show ilikuwa ikisimamiwa na msanii Joh Makini na mimi ndio nilikuwa DJ wake. Hizi ni picha tu mbalimbali ambazo nilipiga na kujiachia na team yangu. 

 #teamANACONDA...


 Joh Makini

 Mwanangu mwenyewe HANS

 Wakati nipo Moshi nilikuwa sehemu moja inaitwa Makumba Bay nikipata moja baridi moja moto ndio akatokea rafiki yangu Richard mshindi wa Big Brother Africa II

No comments: