22.11.13

Tuesday, May 14, 2013

(Photo's) JOH MAKINI atembelea CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)

 Jana jumatatu msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini anajulikana kwa jina la JOH MAKINI alitembelea Chuo kikuu cha DODOMA (UDOM) na kupitia miti yake na kuimwagilia maji, miti hiyo ni aliipanda wiki tatu zilizopita alipokuja na team nzima ya GrandMalt chuoni hapo.


 Wanafunzi wa vyuoni hapo wanasema miti hii wameamua kuipa jina la Joh Makini ili iwe kumbukumbu kwao na hata kama msanii huyo akiwa busy na kazi basi wao wataendelea kuimwagilia maji mpaka iwe mikubwa.

No comments: