22.11.13

Thursday, May 09, 2013

(Photo's) The making of music video PREDATOR by DABO

Msanii wa Ragga nchini anayejulikana kwa jina la DABO amemaliza utengenezaji wa video yake mpya inayokwenda kwa jina la  PREDATOR. Na hizi ni baadhi tu ya picha zilizochukuliwa wakati video hiyo ikirekodiwa. 


Hardmad akiwa na mamodels ambao wataonekana kwenye video hiyo ya Predator 

No comments: