Kwa ushirikiano na Shirikisho la muziki Tanzania zinasema
kwamba mwili wa marehemu Ngwair utaletwa nchini siku ya tarehe moja
(Jumamosi) na kuna mipango ya wapenzi na mashabiki wake kumuaga siku ya
terehe 2 (Jumapili) katika eneo litakalotangazwa.
No comments:
Post a Comment