22.11.13

Thursday, May 30, 2013

(Video) Full Interview P-Funk Akizungumzia Kifo Cha Marehemu Albert Mangwair

3 comments:

Simon Kiluswa said...

Good idea P make change mana hao wanataka ku2shka maskio,

Anonymous said...

True say p funk hao majamaa wanaua wasanii Wa Tanzania kila kukicha Na vile vile wanatajirika kwa jasho za watu hasa wasanii hapa bongo Jamani nawaomba wasanii tuwe pamoja ktk kupambana Na hujuma zao...mimi Ni Mtu mmoja Wa karibu sana Na matapeli hao Na Ni mambo mengi sana yanayoendelea Na yaliopangwa yafanyike kuhusu kuwadhurumu watu haki zao......wasanii piganieni haki yenu ktk suala Hilo.....SIYO KILA KITU MPAKA CLOUDS FM

MALONE said...

We P funk usiongee kitu kabisa , wewe mwenyewe umechangia sana kuua ndoto nyingi za ma underground walokua wanataka kutoka kipindi hicho bongo record ipo juu, ulikua una lugha mbaya matusi kuwapiga kalenda wasanii na kila uchafu, sasa hivi umefulia studio zimekua nyingi unaanza kutafuta pa kutokea kupitia msiba wa Ngwea... RIP Ngwea