22.11.13

Tuesday, May 07, 2013

(Video) SHADOWS OF LOVE OFFICIAL TRAILER HD


2 comments:

Anonymous said...

Hivi ni lazima waongee Kiingereza halafu kibaya, wanachoongea na emotions zao tofauti. Hata matamshi kama wanajilazimisha its not natural flow hebu fanyeni mazoezi ya kuongea kiingereza zaidi au angalieni video za wengine mjue jinsi ya kutamka. Ni katika kujenga zaidi no korosho hapa

Anonymous said...

Tatizo letu sisi wabongo is lack of appriciation we tend to criticise everything and tend to know too much sasa kwenye hiyo video wamekosea nini they spoke well pronauncition dosent matter kama maneno ni correct a language can be affected by somebodys mother toungue remember that video sijui kama yote ndo hiko hivyo ila the colour is perfect from the trailer it gives u something to expect in the movie the truth is tukiendelea kuponda hatutafika jamani i bet this trailer is better nicier than hundred movies produced in tz which lack alot of stuff but seen in this short trailer so tz we should get our shit together and start appriciating