22.11.13

Thursday, July 04, 2013

(Audio) Ordinally, Freddy Lou & P Yabisi - Hatutaki Usengenyaji (Grandmaster)

Hapa Ordinally toka Jambo Squad, hapa Freddy Lou Legend toka TLST, pamoja na P Yabisi toka Yabisi Society, wakiwa wamechafukwa na tabia za watu kuongea bila kujua ukweli juu ya maisha ya watu,wanakwambia "Hatutaki usengenyaji", ukiwa ni mkono ulionyongwa pande za Grandmaster Records na John B
Credits
Song; Hatutaki Usengenyaji
Artists; Ordinally, Freddy Lou & P Yabisi
Producer: John Blass
2013 Grandmaster Records

1 comment:

Unknown said...

bax xawa
endeleeeeeni kuwachana
sio mpango wala nini
kuxemana xemana
badala ya kufanya
maendeleo.