22.11.13

Saturday, July 20, 2013

(News) Baada ya MABESTE msanii mwingine anayetarajia kupata mtoto ni huyu....

Ni kama mwezi au miezi sasa baada ya kuuaga ukapela na kuingia kwenye maisha mapya ya ndoa, msanii anayeuwakilisha mkoa wa Mwanza anajulikana kwa jina la H-Baba nae ameongea na DJCHOKAblog na kutoa habari yakuwa siku mbili hili za mbeleni ndoa yake inakaribia kujipa. H-Baba amesema yuko tayari kwa kumpokea mtoto huyo ambaye atakuwa amezaliwa ndani ya ndoa, pichani kama unavyomuona mke wake Flora Mvungi akiwa hoi hiyo ilikuwa jana walivyoenda hosp kucheki hatua za mwisho mwisho.

No comments: