22.11.13

Friday, July 19, 2013

(News) DJCHOKAblog yaja na TOP 10 zake za kila wiki.

Wadau wa DJCHOKAblog sasa tumeanzisha TOP 10 zetu za nyimbo kali kutoka BONGO ambazo nitakuwa naweka kwenye POLL na nyie kuzipigia kura, wimbo ambao utakuwa na kura nyingi ndio utakuwa namba 1 kwenye TOP 10 yetu. 

Kwa kuanza nimeanza na hizo nyimbo hapo juu kama uzionapo kwenye POLL kwahiyo chakufanya ni wewe kuupigia kura wimbo unaoupenda halafu kila Ijumaa nitakuwa natoa majibu ya namba zitakavyokuwa 1 mpaka 10 na endapo wimbo utakuwa haupati kura nyingi basi utatoka na kuingiza wimbo mwingine mpya ili upambane na nyimbo nyingine zilizopo kwenye TOP 10.

Tukutane tena Ijumaa ya tarehe 26 kuzijua zile nyimbo zilizo pigiwa kura nyingi kuzidi nyingine.

4 comments:

Mtendo Butije said...

Pamoja sana

Anonymous said...

bonge la aidia mkubwa wa kaz....david iringa mafnga.

Saba chuma said...

Pamoja sana bro

Anonymous said...

Barda