22.11.13

Monday, July 22, 2013

(News) DUDUBAYA anawakaribisha kwenye PUB yake "MAMBAZ PUB"

Msanii anayeiwakilisha mkoa wa Mwanza kikamilifu kwenye upande wa Hip Hop anajulikana kwa jina la DUDUBAYA ameongea na DJCHOKAblog na kuelezea kwa sasa amejikita kikamilifu kwenye upande wa PUB. Dudubaya anasema ana kampuni mbili ambazo zipo pande za Mwanza zinajulikana kwa majina ya MAMBAZ TIMBER na MAMBAZ ENTERTAINMENT.

Kwa sasa amefungua pub yake nyingine pande za Kinondoni na alivyoifungua aliipa jina la DnM ila toka jana ameamua kubadilisha jina na kuiita MAMBAZ PUB. Pub hii naambiwa iko pande za Kinondoni B mtaa wa Ufipa karibu kabisa na makao makuu ya Chadema Taifa.

No comments: