Muda huu hapa Mbezi Beach katika hosp ya MASANA mchumba wa msanii wa hip hop nchini Mabeste amejifungua mtoto wa kiume. Ni furaha sana aliyonayo Mabeste now na mungu ni mkubwa kwa kila jambo. Mungu awajalie maisha mapya wanayoyaanza kwa sasa na wamlee mtoto wao kwa amani na furaha tele
5 comments:
Hongera mabeste
Choka unamaneno mazuri jamani
HONGERA SANA KAKA MAZAZI KWA KULETEWA BUDAH
MAJEMBE YANAONGEZEKA SASA
Umeshajua sasa kuwa sio tasa,wapili awe ndani ya ndoa.
Post a Comment