Washindi wawili
wakiume na wakike kutoka Dar es Salaam watakao bahatika kutembelea DJCHOKAblog na kuona namba
ya views imekuwa 8000000 na kupiga picha na kunitumia kwenye email hii
djchoka84@yahoo.com watapata zawadi yakula chakula cha mchana na DJ
CHOKA pale kwenye mgahawa wa kimataifa ujulikanao kwa jina la NYUMBANI LOUNGE. #teamCHOKAblog
1 comment:
Tatizo wengine tupo ktk swaumu kiongozi unatufikiria vp apo ili mzani u_balance?
Post a Comment