Video ya Life goes on itatangulia kutoka mapema wiki ijayo ikifuatiwa na
audio yake hapo baadaye, niliamua kufanya hii project kwaajili ya
kuwapa watu moyo na kuwasihi wasikate tamaa kwani maisha yana ups na
downs ambazo siku zote kuna njia mbadala ya kujikwamua na kusonga mbele,
Life Goes On inawafeature Mo Plus,Chibo,G Nako,Kala Jeremiah,star wa
Mapenzi Vita Jordan,Chaba,Ibra Da Hustler,Ordinally toka Jambo Squad na
TDX,umetengenezwa na John B ndani ya Grandmaster Records.
No comments:
Post a Comment