22.11.13

Tuesday, July 09, 2013

(News) WAKAZI kufanya video yake mpya SOUTH AFRICA

Msanii Wakazi pichani aliyevaa kofia ameongea na DJCHOKAblog na kusema kwa sasa bado yuko South Africa baada ya kumaliza ile show ya Big Brother The Chase aliyoalikwa jumapili. Wakazi anasema baada ya show ile amepata marafiki wengi sana na amekutana na watu wakubwa walioko kwenye media za kule na anatarajia kufanya video ya wimbo wake mmoja mpya ambao bado hajaniambia ni upi ila anataka uwe surprise machoni mwenu.

Unaweza kumfuatilia kupitia Twitter yake anatumia @Wakazi au Instagram @Wakazimusic

No comments: