22.11.13

Saturday, July 06, 2013

(Official Music Video) BOB JUNIOR - KIMBIJI

12 comments:

Anonymous said...

ni bongeeee ya ngomaaa balaa dunia nzima bob

Anonymous said...

Bob ametisha xna

tawhid kheri said...

yakawaida

Anonymous said...

Tawhid kheri hio chukii binafsi ngomaaa ni kaliii sanaaa na vidiooo usisemee upata dhambi kwa mungu roho mbaya na choyooo hiooo bob umetishaaaaaa sanaaaa I loveee theee sooong

hamad hussein said...

We tawhid jipange.. Mdundo hatareee huo

hamad hussein said...

We tawhid jipangeee.. Hyo ngma n hatareeee yan

Anonymous said...

Ukiachana na viuno mi nimependa kila kitu humu....hii video ni kali sana bob junior keep it up....ila miuno mh

Anonymous said...

Nice & lovely song big up BJ

Anonymous said...

mmmmh watu wengine bhana ha ha ha naona ni zaidi ya chuki binafsi halafu mtu ana jina zuri la Tawhid...mtu katumia gharama na inaonekana then wewe unasema ya kawaida kweli?..dhambi kubwa hizo,bob katumia gharama ili mashabiki tufurahi then wasema kawaida?...what I know audio wamefanya watu watatu bob,man water n loso,haya video amafanya meja na wanavyosema wamefanya Tanga na hapa Dar...mi naona haupo sawa wewe jamaa au mwataka zile video zenu za kufanyika club sehemu moja tu nd no story?...bob achana nao watu km hao songa mbele kazi ni bab kubwa sanaaaa,God bless u

cheupe dawa said...

achaneni na uyo twa nani sijui ukweli huwa unawachoma.the star without scandles,aliye juu bila mauzo ya scandle za kutengeneza........well done bob j

cheupe dawa said...

well done

somji juma said...

jamaa ndo anapotea,wimbo sio level zake..