22.11.13

Wednesday, July 03, 2013

(Photo) MABESTE anatajia kupata mtoto siku za karibuni

Msanii MABESTE anayetesa na video yake ya DOLE kwa TV stesheni mbalimbali hapa nchini na nje ya bongo siku za karibuni anatarajia kuitwa baba. Mabeste ambaye kwenye picha anaonekana na mama kijacho huyo ambaye wengi wetu tulimwona kwenye video yake inayoitwa SIRUDI TENA ambapo mama kijacho huyo anayejulikana kwa jina la LISA KARL FICKENSCHER. Check hii account Facebook ya Mabeste Venace
 
Huyu ndio shemeji yetu kwa Mabeste anaitwa Lisa aka Mama Kijacho

No comments: