22.11.13

Monday, July 15, 2013

(Photo's) DUDE kucheza kama YAHAYA katika video ya LADY JAYDEE "YAHAYA"

Msanii wa bongo movie anajulikana kwa jina la DUDE yeye ndie atakayecheza pati ya YAHAYA katika video mpya ya mwanadada LADY JAYDEE. Video hii imeanza kushutiwa leo jioni, kaa tayari kwa kumuona Dude akiwa kama Yahaya
 
No comments: