22.11.13

Monday, July 22, 2013

(Photo's) Haya ndio mazoezi ya ZOLA D kila siku jioni

Leo nilipata nafasi yakumtembelea msanii wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina la Zola D nyumbani kwake. Mazoezi niliyokutana nayo akiyapiga daaah aisee jamaa anapenda sana mwili wake kwamaana kwa haraka haraka ukiwa karibu nae unaweza kusema anaweza kuumia.


3 comments:

Anonymous said...

duuh

Anonymous said...

hyu ukimchukulia demu wake akakufumania jiue kabda hajakuua haha

Anonymous said...

safii sana