Leo nilipata nafasi yakumtembelea msanii wa Hip Hop nchini anajulikana kwa jina la Zola D nyumbani kwake. Mazoezi niliyokutana nayo akiyapiga daaah aisee jamaa anapenda sana mwili wake kwamaana kwa haraka haraka ukiwa karibu nae unaweza kusema anaweza kuumia.
3 comments:
duuh
hyu ukimchukulia demu wake akakufumania jiue kabda hajakuua haha
safii sana
Post a Comment