22.11.13

Monday, July 15, 2013

(Photo's) Yaliyojiri kwenye mazishi ya mama mzazi wa PROF JAY kwenye makaburi ya Kinondoni


 Huyu ndio mzee Haule akiweka shada kwenye kaburi la mama

Anaitwa Dada Viola ni mtoto wa kwanza wa mama Majanjara kati ya watoto watatu aliowazaa mama Rosemary

Baada ya kuzaliwa dada Viola akafuata Joseph Haule aka Prof Jay na hapa na yeye anaweka shada la maua

Baada ya Prof Jay akazaliwa Alex aka Simple X wale wanaofuatilia nyimbo za Jay za nyuma kidogo watamkumbuka Simple X kwenye wimbo wa Jay unaoitwa HAKUNA NOMA. 

Lady Jay Dee akiwa kama rafiki mkubwa wa Prof Jay akiweka shada la maua 

Hawa ni wajukuu wa mama, huyo mtoto mdogo ni mtoto wa Alex au Simple X na huyu mkubwa ni mtoto wa Prof Jay. Mama ameacha watoto watatu pamoja na wajukuu watatu, wajukuu wote ni wakike

1 comment:

Anonymous said...

pole Prof. Jay na Father na Nduguzo. R.I.P Mother!