22.11.13

Tuesday, August 27, 2013

(Album Cover) Flora Mbasha "INUA MOYO WANGU"

Bwana Yesu asifiwe. ninawakaribisha wote katika tamasha la uzinduzi wa album yangu mpya tarehe 15/9/2013 katika uwanja wa Kawe pale Tanganyika Peckaz. Nitaimba LIVE nyimbo zangu zote kuanzia album ya Jipe moyo na tuta record live video. habari zaidi utakuwa unazipata kupitia page yangu ya Flora Mbasha online Gospel Music. 

Tembelea page yangu FLORA MBASHA kwa habari zaidi. kama una ushauri wowote ni inbox ntaashukuru sana.

No comments: