22.11.13

Tuesday, August 20, 2013

(Audio) Bob Haisa - Nikikuonaga

"Kumraadhi mashabiki wangu nilipanga kwamba nitaweka wimbo mpya mtandaoni
kila ifikapo tarehe 15 ya kila mwezi na ningeanza na Agost 15 hii. .Mambo hayakua sawa kutokana na tatizo la umeme kwa siku 4 mfululizo ,Nashukuru nia bado ni ileile na leo nauachia rasmi wimbo mpya na kila ifikapo tarehe 15 fungua mtandaoni utakiri ahadi yangu..wimbo ninao anzanao ni ~nikikuonaga~ producer 'king fenya~  studio ni mbunda rec Karibuni mafans na wapasha habari redioni,viwanjani na mtandaoni wimbo tayari upo Mtandaoni". Bob haisa.

No comments: