22.11.13

Sunday, August 18, 2013

(Audio) JCB & Moplus ft Catrina - Mapinduzi

Ngoma Mpya Toka kwa JCB & Moplus from the "Makalla wa Ukoo Mixtape, ikiwa ni collabo na mwanadada Catrina, kazi inaitwa "Mapinduzi" na imerekodiwa juu ya beat ya Zigilaa katika studio za Noizmekah kwa Defxtro, sikiliza ngoma HAPA na kwa mawasiliano/mahojiano zaidi check na MakallaWa Ukoo kupitia +255 715 488 255 au +255 756 488 255 powered by www.vmgafrica.com

No comments: