22.11.13

Thursday, August 29, 2013

(Audio) KCK ft MoPlus - BigidiBoost

KcK wanadrop "BigidiBoost" wakiwa na MoPlus aka Baba Wa Ukoo,Hii ni single itakayokuwepo katika Album ya "Nil-Vil " itakayodrop mtaani mapema mwezi wa Tisa,maarufu zaidi kama Nilivyoviharibu Vilivyoniharibu.Download HAPA na kwa mahojiano/Mawasiliano zaidi check na Legendary SpacDawg na Boox kupitia +255 754 970 956 au +255 765 022 224 powered by www.vmgafrica.com

No comments: