22.11.13

Thursday, August 29, 2013

(Audio) Ruler ft SpacDawg & Nutcracker - Peperusha Beef

Msanii Ruler toka crew ya MIB pamoja na Nutcracker wakiwakilisha umoja wa Vichwa Pamoja, Sakina kwa Iddi pande za Arusha,wamshirikisha legendary SpacDawg katika ngoma yao mpya "Peperusha Beef" ilosukwa pande za Noizmekah Studios, download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na Ruler wa MIB kupitia +255 752 513 923 powered by www.vmgafrica.com

No comments: