22.11.13

Monday, August 19, 2013

#DJCHOKAblogTOP10 week hii.

Ikiwa ndio week ya 4 toka tuianzishe hii TOP 10 yetu tunaona wimbo wa Rama Dee ndio unaongoza kushikilia namba 1 mfululizo bila kupata mpinzani wake. Week hii top 10 yetu ndio kama hii muionayo na nyimbo mbili zilizoingia kwenye #DJCHOKAblogTOP10 ni wimbo wa Stamina (MWAMBIE MWENZIO) pamoja na wimbo wa Young Killer (MRS SUPER STAR). Je nyimbo hizi mbili zinaweza kupanda juu na kushika nafasi za juu? Pigia kura sasa wimbo unaoupenda halafu Ijumaa hii ndio tutamjua wimbo gani utabaki na wimbo gani utatoka.

No comments: