22.11.13

Friday, August 23, 2013

(EXCLUSIVE Music Video) Lucci and Jokate - Kaka Dada


13 comments:

Anonymous said...

video itaubeba wimbo kwakweli..

Anonymous said...

MIMI NIMEUPENDA WIMBO NA VIDEO...NAJUA WABONGO MWANZO WA WIMBO MNAKUWA HAMSIKILIZI KWA MAKINI ILA MTAKUJA KUNIAMBIA.. KEEP IT UP JOKATE

Anonymous said...

MBONA HATUJAONA KAMPUNI ILIYOUTENGENEZA HII VIDEO JAMANI

Anonymous said...

nitaishia kuitizama video ila wimbo ukipigwa nitachange station...ila umejitaidi kiukweli Jokate

Anonymous said...

Zile PROMO zote kumbe tumekuja kuishia pazuri

Anonymous said...

mbona wimbo unasema KAKA DADA halafu mwishoni kama wanatamaniana

Anonymous said...

OGOPA DJZ HAPA MMEFANYA BONGE YA VIDEO,ILA WIMBO NAH HAKUNA KITU KM MMEJIFURAHISHA TU WENYEWE KIDOTI NA LUCCI

Anonymous said...

nice song lucci. Mmejitahidi

Anonymous said...

Gooooooddaaaaaamnt.... Bonge la dudeeeeeee

Jacky Bijanda Derick said...

Ofcoz njema coz wasanii sasa wamejua nn wanfany kwa kuangalia pande zote mOVIEs na sONgs

ELIUD SAMWEL said...

Video kali

ELIUD SAMWEL said...

Video kali

ELIUD SAMWEL said...

Video kali sana