22.11.13

Wednesday, August 28, 2013

Huu ni muonekano wa albam cover ya PETER BANZI inayokwenda kwa jina la NASIKIA KUITWA

Inapatikana kwa sh eflu 10,000 na unaipata popote ulipo kwa hapa dar kwa mawasilino ya no 0717413034 basi unafikishiwa nyumbani.......albamu hii yenye nyimbo 10 za raza tofauti
tofaut hiphop na muziki wa kiafrika zaidi....na ni ya nyimbo za injiri kwa ajiri ya vijana na
wazee pia yan new generation ok pandisha mlenge njo tumpe mungu shavu la kutosha
ili afanye yake tuzidi kula bata tukielekea yelusalemu mpya..... haleruyaaaaah

No comments: