22.11.13

Sunday, August 18, 2013

KCK na "Mitaa Inauliza" KIONJO.SNIPPET

KcK, kundi kongwe la HipHop Music Arusha linaloundwa na Spacdawg pamoja na Boox wanadrop ngoma "Mitaa Inauliza"  toka Noizmekah Productions hivi karibuni kwa maana album pia ni legendary album yenye format ya tofauti kabisa, nyenzo mpya mbalimbali za kiteknolojia zimezingatiwa na sasa tupo katika mastering kukamilisha mpango mzima wa mawe 31, sikiliza kionjo cha Mitaa Inauliza HAPA  kwa mawasiliano/mahojiano zaidi piga simu +255 754 970 956 au +255 756 022 224 powered by www.vmgafrica.com

No comments: