22.11.13

Wednesday, August 07, 2013

Leo katika mada yetu ya MSHAURI MSANII WAKO tuko na msanii huyu

Leo katika mada yetu ya Mshauri Msanii Wako tuko na MR BLUE.. ukiwa kama shabiki wako namba moja hebu jaribu kumshauri kitu chochote ili aendelee kujenga mziki wake uendelee kuwa mzuri. 

Tuma comment yako hapa au unaweza nitumia kwa sms kwa kuanza kuandika neno DJCHOKA halafu unaandika ujumbe wako halafu unautuma kwenda namba 15678

19 comments:

Raphael Adrian said...

Jitahidi kuwa msanii mwenye kupanda chati na si kupotea

Unknown said...

Nafikili blue you 're best yani kifupi unajua ila ili game kwa sasa km unamjengo fanya mpango ujenge,km drugs fanya mpango uache,km misifa iyache ipite ww ni legendary madogo wata kuchezea sharubu,nakupongeza sanaa kwanza unaga skendo za ajabu that what is.

Unknown said...

Nafikili blue you 're best yani kifupi unajua ila ili game kwa sasa km unamjengo fanya mpango ujenge,km drugs fanya mpango uache,km misifa iyache ipite ww ni legendary madogo wata kuchezea sharubu,nakupongeza sanaa kwanza unaga skendo za ajabu that what is,OMYBOY wa BOJO FC

Unknown said...

Nafikili blue you 're best yani kifupi unajua ila ili game kwa sasa km unamjengo fanya mpango ujenge,km drugs fanya mpango uache,km misifa iyache ipite ww ni legendary madogo wata kuchezea sharubu,nakupongeza sanaa kwanza unaga skendo za ajabu that what is,OMYBOY wa BOJO FC mtön kIjichI.

Unknown said...

Nafikili blue you 're best yani kifupi unajua ila ili game kwa sasa km unamjengo fanya mpango ujenge,km drugs fanya mpango uache,km misifa iyache ipite ww ni legendary madogo wata kuchezea sharubu,nakupongeza sanaa kwanza unaga skendo za ajabu that what is,OMYBOY wa BOJO FC mtön kIjichI.

Anonymous said...

jamaa ni mzuri kurap na Kuimba... Ni zaidi ya hawa madogo wanaopoga pesa ndefu kwa Style za Kukop ushauri Bangi acha... Na Unga acha unatakiwa kukamilisha ndoto alizokua nazo marehemu Mama ako kuhusu wewe. Bryan Majenga the Classic presenter Saut Fm

Anonymous said...

Namkubal xna baiser cna iyana nae mpe heshima yke

fredor said...

fanya collabo na octopizo alafu mkazie ile konoma noma kwenye audio then simamia kideo cha nguvu umpoteze had kwenye video......naamin unaweza joh,,,yo da best..UNA KIPAJI KIKUBWA unachotakiwa ni kujifunza kuwekeza kwenye music blue,,,,usiogope kufanya video kali kwasababu video ndio huwa zinakubeba fresh zaid......#GO BLUE.

Unknown said...

aache kujichimbia sana coz anachuja sana yan

Unknown said...

kaza bro ni kipindi kigum xana cha vjana weng wanaotaka kukupita kigame xo naomba ukaze bro

Kenned david said...

.
H
Bu jalb kupitia apa mala moja http://kdöe pg http://kenned1.tk

Kenned david said...

Mr blu jalb kuchek apan hup http://kenned1.tk

Kenned david said...

K hup ht z

UTAMU WA KUTOMBANA said...

Jalb kuchek apa http://kenned1.tk

get to know said...

ana idea nzuri, ila styl yake ya kulialia inamwaribia...awe anabadilika. haone mwenzake feruzi anavyo sota kutoka tena saivi....nyimbo ya kuparty unaweka tunes za kulalamika na kulialia. Lasivyo uwe unastiki kwenye manyimbo ya kiswazi na majonzi tu

Anonymous said...

Blue ww ni noumah namba moja tanzania diomond hakuwezi

Anonymous said...

Dogo yuko vzr ttz bangi na unga umeshamwalibu,,,,hana sauti km ya zamani, ,,,,,,,chukulia hii km ushauri ila ukupuuzia utapotea,,,,muangalie yule dogo wa hm alone xa hv yuko km mzee unga umemmaliza kabisa

Mlokole Wa Muscat said...

BLUE MKALI NA ANAJITAMBUA!!

Mlokole Wa Muscat said...

JAMAA ANAJUA ILE MBAYA SEMA MAKUNDI YAKE HAYALINGANI NA YEYE YANAMSHUSHA KIWANGO!!!!