habari ndugu,
huu ni wimbo wangu mpya unaitwa FUMBA MACHO niliomshirikisha dullayo
,ngoma hii inaeleza jinsi mapenzi yalivyo sasa !ambavyo wengi wamekua
wakiishi na wapenzi wao wazuri iwe kimuonekano MZURI, kifedha na
kadhalika ambavyo wanapata challenge kwa watu wengine ambao wanawataka
kimapenzi bila kujua wapo kwenye mahusiano..na pia ambavyo wanawake
wanadai wameshaumizwa sana kwenye mapenzi kwa hiyo wameamua kuishi tu
maisha yao inshort wamevurugwa.. kwa hiyo swala la ku FUMBA MACHO ni
kwamba mahusiano ya siku hizi watu hawaulizani wala kuchunguzana maana
itasababisha STRESS..lol
ARTIST: Cyrill kamikaze ft Dullayo
TRACK:fumba macho.
STUDIO:shine records.
PRODUCER: Geof master.
No comments:
Post a Comment