22.11.13

Friday, August 30, 2013

(News) Diamond amkabidhi Ngurumo gari aina ya 'Funcargo'

Diamond Platinum baada ya kumaliza kutambulisha video ya wimbo wake mpya Number One kwa heshima aliamua kumwita mbele msanii mkongwe 'Ngurumo' na kumkabidhi gari ya aina ya Funcargo

Sababu za kumpa gari alisema amesikitishwa sana baada ya kusikiliza Ngurumo toka enzi za ujana wake hajawahi kumiliki gari mpaka kustaafu kwake


3 comments:

Mobiletz said...

Maisha ni kusaidiana kitendo aliyo kifanya daimond cha kumkabidhi mzee GRURUMO gari ni kitendo kizuri sana.

Big up sana DAIMOND PLATNUM
Its me Thadeo from MOBILETZ.COM

gwandumi mtuhuru said...

mbona tu pouwa

Anonymous said...

Nakubaliana na wewe asilimia mia@mobiletz. Bigup sana Diamond umetoa mfano mzuri sana ambao unaonyesha upendo katika sanaa.