22.11.13

Wednesday, August 21, 2013

(News) GELLY WA RHYMES anakuja na KICHUPA kipya akiwa na MABESTE

Gelly wa Rhymes amezungumza na DJCHOKAblog na kusema kuwa wiki mbili zijazo anatarajia kushoot video yake mpya aliyoipa jina la KUWA NAWE akiwa amemshirikisha msanii wa Hip Hop nchini Mabeste. Gelly anasema wimbo huo Kuwa Nawe ameufanyia pale AM Rec chini ya mtu mzima Prod Manecky. Kaa tayari kwa ujio huo mpya wa Gelly wa Rhymes akiwa Mabeste.

No comments: