22.11.13

Sunday, August 11, 2013

(News) Nyimbo zilizoingia kwenye DJCHOKAblog TOP 10 kwa wiki hii ndio hizi... VOTE NOW

Hii ndio chat yetu mpya unachotakiwa ni kupigia kura wimbo unaoupenda ili uendelee kubaki kwenye top 10 za DJCHOKAblog kwa wiki hii inayoanza kesho halafu Ijumaa inayokuja ndio tutajua nani anaendelea kusimama kwenye chat. Nyimbo mbili zilizoingia kwenye Top 10 ni wimbo wa Nay wa Mitego (SALAMU ZAO) pamoja na wimbo wa Ommy Dimpozi (TUPOGO). Je unadhani nyimbo hizi zilizoingia zitaweza kumshusha Rama Dee ambaye ameshikilia nafasi ya kwanza kwa wiki ya 3 sasa?

Kwa maoni na ushauri nitumie ujumbe wako kupitia simu yako ya mkononi unaanza na kuandika neno DJCHOKA halafu unaacha nafasi ndio unaandika ujumbe wako halafu unautuma kupitia namba hii 15678.

No comments: