22.11.13

Thursday, August 15, 2013

(News) Producer C9 Kanjenje afungua nae studio yake mpyaaaaaaaa tizama muonekano wa studio yake...

 Baada ya kukaa kimya kwa muda wa miaka 4 huku aki-hustle kutafuta cha kwake, hatimaye ndoto yake imekamilika kwa kufungua studio yake rasmi pande za Togo street – Kinondoni jijini Dar.
Ni yule prodyuza mdogo lakini matata aliyekuwa akifanya yake ndani ya Kili records, muite Charles Francis Charles alias C9.

“Yap nimefungua studio yangu inaitwa C9 records na ina jumla ya maprodyuza watatu wakiongozwa na mimi mwenyewe, Amiz touch na Erick. Itakuwa inafanya aina zote za mziki” C9 told the BK cop.
Studio ina vyumba vitatu (booth, production na rest room), full kiyoyozi, condenser mic tatu na mazaga ya ukweli kibao. Ina siku tatu tu tangu ianze kazi.

Story na picha by BaabKubwa

No comments: