22.11.13

Thursday, August 15, 2013

*News) Uzinduzi wa FOOLISH AGE kufanyika tarehe 30.8.13

 Tarehe 30.8.13 ndani ya MLIMANI CITY ni uzinduzi wa filamu mpya ya ELIZABERT MICHAEL aka LULU iliyopewa jina la FOOLISH AGE. Mbali na uzinduzi wa filamu hiyo pia kutakuwa na burudani kali kutoka kwa Lady Jaydee pamoja na Machozi Band, kiingilio kitakuwa ni Tshs 30,000 na uzinduzi huu umesimamiwa na kampuni ya PROIN PROMOTIONS.No comments: