22.11.13

Friday, August 09, 2013

(News) WITO WATOLEWA KWA WAZAZI KUWAPELEKA WATOTO KUJIFUNZA GOFU

 Mwalimu wa Gofu kwa watoto wadogo klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam Bw. Claude Nkawamba akimfundisha Vanessa Nkurlu (7) mchezo huo,Mwalimu huyo alitoa wito kwa wazazi wakitanzania kuwapeleka watoto wao kujifunza mchezo huo
jana.

 Mtoto mwanafunzi wa Gofu Vanessa Nkurlu (7) akiangalia mpira aliyeupiga ukielekea katika shimo la pili katika uwanja wa klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam,jana.

 Vanessa Nkurlu (7) akielekeza mpira katika shimo huku Mwalimu wake wa Gofu kwa watoto wadogo Bw. Claude Nkawamba  akimtizama katika klabu ya Gymkhana, Dar es Salaam.

Amani Nkurlu akijiandaa kupiga mpira wa gofu katika uwanja wa klabu ya Gymkhana jijini Dar es Salaam,Wakishuhudia ni Mwalimu wa Gofu Bw. Claude Nkawamba na mwanafunzi wa gofu Vanessa Nkurlu.

No comments: