22.11.13

Monday, August 26, 2013

ONA AZONTO ITAKAVYOCHEZA LIVE IN DAR September 7

Ni katika viwanja vya ustawi wa jamii, kijitonyama kwa Tsh 10,000/= ukikata ticket mapema na 15,000/= mlangoni. kutakuwa na wasanii wengine kibao kama Vannesa Mdee, Mabeste, Mrap, Deddy, Gosby, Wakazi, H baba, Banana Zoro, Wakali Dancers, Lulu (BongoMovie), Aika na Nah Reel.

Usikose.

1 comment:

Anonymous said...

zimeshaanza kukatwa au