22.11.13

Friday, August 09, 2013

(Photo's) ARUSHA NA SPAC DAWG TOKA KCK

Hapa pichani nipo na msanii wa zamani sana kutoka Arusha anajulikana kwa jina la SPAC DAWG, huyu jamaa nilikuwa namsikia zamani sana nikawa na hamu ya kuonana nae hata nipige nae picha hatimaye leo ndoto zangu zimetimia nikiwa hapa Arusha pande za Noizmekah Studio ambapo wanarekodi album yao yenye ngoma 31

 Na Bobray wa Maspray
SpacDawg & Dipper & Boox
Dullah Mnene & Gsam Original
SpacDawg Boox Bobray

No comments: