Maelfu ya mashabiki wa
jiji la Mwanza waliojitokeza uwanja wa CCM Kirumba kuwashuhudia wakali wa
Muziki katika Kilimanjaro Music Tour
Msanii wa Ragga Dabo
ndiye aliefungua rasmi show ya Kili Music Tour 2013
Rais wa masharobaro Bob
Junior jukwaani na madansa wake
Snura mamaa wa majanga
Ali Tall maarufu kama
AT akiwaduarisha wakazi wa Mwanza katika jukwaa la Kikwetu kwetu
Mkali wa R&B Ben
Pol akiwaimbisha mashabiki wake
Roma Mkatoliki alikuwa
msanii wa kwanza wa Hip Hop kupanda jukwaani.
Lady Jaydee akiwasha
moto katika jukwaa la Kili Music Tour huku akipewa kampani na Profesa Jay
katika wimbo wa Joto Hasira
Mshindi wa tuzo 3
katika Kili Music Awards 2013 Kala Jemremiah akithibitisha ubora wake jukwaani.
Diamond Platnumz
akiwapagawisha mashabiki wake
Mtoto wa nyumbani Fid
Q "Ngosha akifunga show ya Kili Music Tour 2013 jijini Mwanza
6 comments:
mmetisha sana aisee
nilipenda show ya BOB
Kwaukweli show iliboa haikuwa na jipya rafiki zangu waliondoka kabla hata show haijamalizika
Bob junior ben Pol n fid q bic up coz mlipiga show vizurii
Bob junior ben Pol n fid q bic up coz mlipiga show vizurii
dahhh bob junior alifunikaaa bayaaaa sana,bonge la show kafanya big up sana kwake and dancers wake pia
Post a Comment