22.11.13

Sunday, August 11, 2013

(Photo's) Yaliyojiri kwenye show ya LADY JAYDEE pamoja na PROF JAY mjini ARUSHA.

Hii ilikuwa show ya kwanza kabisa ambapo mwanadada Jide pamoja na Prof Jay walikimbiza vilivyo katika ukumbi huu wa Triple A Club uliopo hapa Arusha. enjoy kutizama picha

 Picha zote za juu ndio ilikuwa show ya Eid Mosi katika club ya Triple A iliyopo hapa Arusha

 Dir wa video Nisher akiwa na Prof Jay ndani ya Triple A Club Arusha

 Hii ilikuwa Eid Pili kwenye show ya mchana ya watoto ambapo ilifanyika Botanico Garden

Nikiwa na mama yangu wa Arusha...

No comments: