(Photo's) Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa video ya Diamond Platinum "NUMBER ONE"
Wadau mbalimbali leo jioni walihudhuria
katika uzinduzi wa video ya wimbo mpya wa Diamond Platinum unaofahamika
kwa jina la 'Number One' kwenye hoteli ya kifahari Serena iliyopo hapa
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment