22.11.13

Thursday, August 22, 2013

(Video) SWAHILI TV KUTOKA WASHINGTON ILIKUWEPO LIVE KWENYE SHEREHE ZA WATANZANIA WAISHIO DC,MD,VA AMBAPO PIA WALICHANGIA MAONI YAO YA KATIBA MPYA !


Swahili TV inakuletea kipindi maalumu sherehe za watanzania waishio DC, Maryland na Virginia walipokutana kwa siku maalum ya familia (Picnic Day) iliyofanyika Wheaton Reginal Park, MD, jumamosi August 17, 2013. Muhimu zaidi waliweza pia kuchangia rasimu ya marekebisho ya katiba mpya ya Tanzania. 

No comments: