22.11.13

Friday, September 20, 2013

(Audio) Mankhain ft Chozi - Donge

Msanii Mankhain toka West Pasu pande za Kilimanjaro mjini Moshi, akiwa amemshirikisha Chozi katika ngoma aloipa jina "Donge",production ya Noizmekah Studios Arusha kwa Defxtro, pata kusikiliza/Kudownload HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi na ManKhain check +255 758 423 233 powered by www.vmgafrica.com
-----------
Mankhain ft Chozi-Donge
http://goo.gl/an9WJi

2 comments:

Anonymous said...

Ni noumaaaa!acha waone dongee

Anonymous said...

Nice work brothers....