Wakubero aka Jeshi la Mbung'o wanadrop Bounce jipya kabisa kwa jina "Mwerevu siafu"
toka studio za Noizmekah Arusha chini ya Defxtro, humu pia sauti za
Maalmando zimesikika vizuri akiwemo Nigga C Pamoja na Ordinaly, Download
ngoma HAPA na kwa mawasiliano/Mahojiano zaidi check na Wakubero kupitia +255 763 673 340 powered by www.vmgafrica.com
No comments:
Post a Comment